KATIBU Mkuu Baraza la Wanawake la Chadema Taifa (BAWACHA) Naomi Kahiyula akifunguwa Kongamano la Wanawake lililofanyika katika Ukumbi wa Jamatihan Kibokoni Unguja, lililoandaliwa na( BAWACHA)(Picha na Haroub Hussein)
Washiriki wa Kongamano la Wanawake wa CHADEMA wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Baraza hilo Taifa.Naomi Kahiyula, wakati akifunguwa kongamano hilo liliofanyika katika ukumbi wa Jamatihan.Unguja.(Picha na Haroub Hussein). 
MBUNGE wa Viti Maalum Chadema Mkoa wa Mjini Magharibi, Maryam Msabaha akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano hilo la siku moja la Wanawake lililoandaliwa na Baraza la Wanawake la Chadema Taifa (BAWACHA) lililofanyika katika ukumbi wa Jamatihan Mjini Unguja.(Picha na Haroub Hussein).
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakifuatilia Kongamano la Wanawake lililoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema Taifa, lilofanyika katika ukumbi wa Jamatihan.
No comments:
Post a Comment