Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mhe,Abdilah Jihad Hassan,kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ikulu Mjini Zanzibar,kabla Jihad alikuwa Waziri wa Habari,Utalii, Utamaduni na Michezo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mhe, Suleiman Othman Nyanga,kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar j,kabla Nyanga,alikuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mhe,Ali Juma Shamuhuna,kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
,kabla Shamuhuna,alikuwa Waziri wa Ardhi,Makaazi Maji na Nishati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mhe,Ramadhan Abdalla Shaaban,kuwa Waziri wa Ardhi.Makaazi,Maji na Nishati,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar,kabla Shaaban,alikuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri aliowaapisha waliosimama,hafla hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar,wengine
Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif,(kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,(kulia).
Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu
Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif,(kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,(kulia).
Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu
No comments:
Post a Comment