Katibu Mkuu wa Wizra ya Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Dk.Vuai Iddi Lila akitia Saini kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Msaidizi Meneja wa Kampuni ya SOGEA ya Ufaransa kanda ya Afrika Mashariki Laurent Brouet kwa ajili ya Ujenzi wa Maegesho na Utanuzi wa Barabara ya kutulia na kurukia Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, utiaji wa saini huo umefanyika katika Ofisi ya Wizara ya Mawasiliano Zanzibar.(Picha na Talib Ussi Maelezo Zanzibar)
WATU ZAIDI YA 900 KUSHIRIKI WIKI YA AZAKI KUANZIA KESHO ARUSHA
-
Na Seif Mangwangi, Arusha
WIKI ya Asasi za kiraia 2025 (AZAKI) inaanza kesho jumatatu Juni2 hadi 6,
2025 Jijini Arusha huku washiriki zaidi ya 900 kutoka t...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment