Tangazo Kwa Wadau wa Blog Walioko Zanzibar .
Assalaamu Alaykum.
Natumai wadau wenzangu wa Blog katika Visiwa vya Zanzibar ni Wazima wa Afya na mko katika harakati za kuwahabarisha wananchi kupitia mtandao huo.
Napenda kuwajulisha kuwa kutakuwa na Mkutano wa Mablogger wote wa Zanzibar, kwa hiyo tunaomba kujiorodhesha ili kupata mawasiliano kwa urahisi jinsi ya kukutana na kutowa namba zenu za simu au kuwasiliana na mtandao huu kupitia othmanmaulid@gmail.com.
Muhimu sana kuna habari njema kwenu ili kukuza maendeleo ya mtandao huo hapa Zanzibar.
Natumai kupata ushirikiano wenu na kujitokeza ili kufanikisha
Mtafute Ashak wa mzalendo.net. Mmoja wao yuko zenji. Pia usimkose da Salma wa Zanzibaryetu.blogspot.com
ReplyDeleteUnganeni mtupe habari.