Rais wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dalian China, Zhang Dexiang, akitiliana saini na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Profesa Idris Ahmada Rai, saini ya ushirikiano wa baina ya Vyuo hivyo viwili kwa ajili ya Ushirikiano.
Wakibadilisha mikata baana ya kusaini kwa pande hizo, Rais wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dalian China, Zhang Dexiang na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Profesa Idris Ahmada Rai.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha SUZA Profesa Idris Ahmada Rai, akizungumza katika kikao cha ushirikiano wa utilianaji wa saini baina ya Vyuo hivyo uliofanyika katika ukumbi wa SUZA Majestik.
No comments:
Post a Comment