Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANAO LA KWANZA KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI KWA NCHI ZA AFRIKA, JIJINI ARUSHA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa ‘International Diabetes Federation’, Jean-Claude Mbanya,  baada ya kumaliza  hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya watoto wanaishi na ugonjwa wa Kisukari kutoka Mataifa mbalimbali ya Afrika, wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na watoto waishio na ugonjwa wa kisukari, baada ya kufungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo Julai 26, 2012 jijini Arusha. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.