Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makaazi Zanzibar Mwalim Haji Ameir akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Ali mwinyikai hayupo pichani katika mafunzo ya Wanahabari kuhusiana na Sensa ya watu na Makaazi ambayo itafanyika Jumamosi ya Tarehe 25Agosti kuamkia Tarehe 26 Agosti 2012.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Ali mwinyikai akitoa Hotuba ya ufunguzi wa Mafunzo kwa niaba ya Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar kuhusiana na Sensa ya watu na Makaazi ambayo itafanyika Jumamosi ya Tarehe 25Agosti kuamkia Tarehe 26 Agosti 2012.
Baadhi ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali Zanzibar waliohudhuria katika Mafunzo ya Wanahabari kuhusiana na Sensa ya watu na Makaazi ambayo itafanyika Jumamosi ya Tarehe 25Agosti kuamkia Tarehe 26 Agosti 2012.
Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar Mohd Hafidh Rajab akielezea Hali ya Mandalizi ya Sensa Zanzibar ambayo itafanyika Jumamosi ya Tarehe 25Agosti kuamkia Tarehe 26 Agosti 2012.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Ali Mwinyikai wakatikati akiwa katika Picha ya pamoja na Wakufunzi pamoja na Wanahabari katika Mafunzo
Picha zote na Yussuf Simai, Maelezo
Hivi huyu mtakwimu mkuu jina lake ni lipi kati ya haya: Mohd Hafidhi au Mohammed Hafidh? Let's be accurate on names please?
ReplyDelete