Habari za Punde

African Magic na Lakers katika Karume Cup. Magic Yashinda 58 -52

 Mchezaji wa timu ya Lakes Grace Joseph, akijiandaa kutowa pasi kwa mwezake wakati michuano ya Kombe la Karume.linalofanyika katika viwanja vya Gmykhana.


Mchezaji wa timu ya Afrika MagicMaritha Mashaka akijaribu kumpita mchezaji wa timu ya Lakes Mwanahamisi Said, katika mchezo wa Kombe la Karume, timu ya Afrika Magic imeshinda kwa vikapu 58--52. 

MCHEZAJI wa timu ya Afrika Magic Aisha Ahmeid, akijiandaa kufunga katika goli la timu ya Lakes, katika  Michuano ya Kombe la Karume,inayofanyika katika uwanja Gmykhana ,timu ya Afrika Magic imeshinda kwa vikapu 58 -52.
Kocha timu ya Lakes Mzee akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kotaya nne.
Wapenzi watimu yaAfrika Magic wakishangilia timu yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.