Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Karume New West na JKU, imeshinda 60-28.




 MCHEZAJI wa timu ya basketi ball ya JKU Miza Nyange, akiwapita wachezaji wa timu ya New West, katika michuano ya Kombe la Karume, unaofanyika katika viwanja vya Gymkhana timu ya JKU Wanawake imeshinda kwa vikapu 60 – 28.  
 Mchezaji wa timu ya New West Fatma Ali, akiwatoka wachezaji wa timu ya JKU, katika mchezo wa kuwania Kombe la Karume zinazofanyika katika viwanja vya Gmykhana, timu ya JKU imeshinda kwa Vikapu 60 -28. 
 Mchezaji wa timu ya New West Tatu Juma, akijaribu kumzuiya  Fatma Salum, akijiandaa kutowa pasi , katika mchezo wa Kombe la Karume uliofanyika katika viwanja vya Gmykhana. 
Mchezaji wa timu ya JKU Semeni Abdalla, akiwapita wachezaji wa timu ya New West.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.