Habari za Punde

Wanafunzi wa Darasa la Saba wakifanya Mtihani Kuingia kidatu cha Kwanza na Michipuo

 Wanafunzi wa Skuli ya Darajani wakifanya mtihani wa Darasa la Saba wa somo la Sayansi, ili kufauli kuendelea na masomo ya Kidatu cha Pili na Michipuo. 
 Msimamizi wa mitihani katika skuli ya Darajani akisimamia wanafunzi wakiwa katika chumba cha mitihani wakifanyamitihani yao ya kufunzu Michipuo 



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.