Habari za Punde

Uzinduzi wa Baraza la chuo cha uongozi wa fedha Chwaka

 Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka wakiwa katika Kikao cha Uzinduzi wa Baraza hilo kilicho fanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha huko Chwaka Wilaya ya Kati Unguja.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee (katikati)akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Baraza la Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Wilaya ya Kati Unguja.kulia yake ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Dk,Zakia Ahmed Abubakar na kushoto yake ni Mkuu wa Chuo hicho Kamal Kombo Bakari.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee (katikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi pamoja na Wajumbe wa Baraza la Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Wilaya ya Kati Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.