Habari za Punde

Ujumbe wa Tucta wawasilisha maoni katiba mpya


Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Edmund Mvungi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) waliofika katika Ofisiza Makao Makuu yaTume Jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Januari 9, 2013) kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Mjumbe wa Tume, Bi. Maria Kashonda na katikati ni Katibu Mkuu wa TUCTA, Bw. Nicholus Mgaya.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.