Habari za Punde

Wahitimu wa Modern Tailoring Academy

Wahitimu wa chuo cha Modern Tailoring Academy cha Magomeni wakionyesha mitindo ya nguo walizoshona wao wenyewe. Vijana hawa wamepiga picha ya pamoja wakiwa hapo skuli ya Haile Selasie.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.