Habari za Punde

Waziri Shamuhuna na Waziri Kawambwa wakutana kwa Mazungumzo Zenj.

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mikakati walioiweka pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Tanzania Shukuru Kawambwa juu ya kushirikiana na Tume ilioundwa ya kuchunguza matokeo ya Mitihani ya wanafunzi wa Kidato cha Nne,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa  Wizara ya Elimu Zanzibar.
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Tanzania Mhe.Shukuru Kawambwa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mikakati walioiweka pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar juu ya kushirikiana na Tume ilioundwa ya kuchunguza matokeo ya Mitihani ya wanafunzi wa Kidato cha Nne,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa  Wizara ya Elimu Zanzibar. 
 Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Elimu na Tanzania Mhe.Shukuru Kawambwa.akizungugumza na Waandishi na Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kuhusiana na Matokeo ya Mitihani ya Kidatu cha Nne. mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Elimu Mazizini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.