Habari za Punde

Bodi ya Posta Yazinduliwa Zanzibar


Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania Dk. Yamungu Kayandabila, (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Rashid Seif Suleiman, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Ocean View kwa ajili ya Uziduzi wa Bodi ya Shirika hilo (katikati) Posta Masata Mkuu Tanzania Deos Khamis Mndeme, .
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Rashid Seif Suleiman, akihutubia baada ya kuizinduwa Bodi Mpya ya Shirika la Posta Tanzania katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani  Zanzibar.


Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania wakimsikiliza Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar akiwahutubia na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe hao wa Bodi katika utekelezaji wa Kazi zao kwa Ufanisi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tamzania Dk. Yamungu Kayandabila, akitowa maelezo wakati wa Uzinduzi wa Bodi yao uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.


 


 Wajumbe wa Bodi wakibadilishana Mawzo na Waziri wa Mawasiliano.
 Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi Mpya ya Shirika la Posta Tanzania.  
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Rashid Seif Suleiman, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi Mpya ya Shirika la Posta Tanzania. na Wafanyakazi wa Shirika hilo.
Posta Masta Mkuu Tanzania Deos Khamis Mndeme, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusuana na Shirika lake katika utendaji wa kutowa huduma kwa Wateja wao Tanzania na Nje ya Tanzania , jinsi shirika hilo linavyojiborsha katika huduma zake kuhakikisha kila mtu inamfika huduma ya posta nyumbani kwake.

1 comment:

  1. mmekwisha nyinyi kila kitu kiko chini ya watanganyika , kilichobaki muiname .........

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.