Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa
mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad
mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad
Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Katiba na Sheria,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo,chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa katika mpangilio wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila Wizara,
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa katika mpangilio wa Rais, kuzungumzia utekelezaji wa kazi za kila Wizara,
[Picha na RamadhanOthman,Ikulu.]
Nadhani Allah anatuonesha wazi jinsi haki za wananchi zinavyoweza kuchezewa katika kesi nzima ya UAMSHO.Ni aibu ya kutupwa kuona wananchi wakiteswa rumande kwa kesi isio na ushahidi.
ReplyDeleteNadhani SUK inatakiwa kulitazama suala hili la polisi kukamata watu ovyo.Nchi za wenzetu mtu kukamatwa lazima mahakama itoe nyaraka idhini na kiilivyo haikubali kutoa idhini bila ya polisi kukusanya utafiti wa kutosha.
Jambo la kushangaza wakati mtu anasota rumande, ndio kwanza DPP anakunywa urojo na kupanga siku za kutafuta utafiti!
Hongera Sheikh Othma kwa kujikomboa na kuanzisha anwani madhubuti kwa ajili ya kurusha habari ni hatua muhimu.
ReplyDeleteTupo pamoja Mr Muhsin tunakufuateni nyie ndio walimu wetu.
ReplyDelete