Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Leo

Mhe. Ali Omar Shehe (CUF) akizungumza na Mhe Ali Mzee Ali (CCM) kulia na Hijja Hassan Hijja kushoto wakimsikiliza mheshimiwa wakati wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi.
Mhe Hijja Hassan Hijja , akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mhe. Ali Omar Shehe.
Mhe. Mohammed Mbwana Hamad, akiwasikiliza Viongozi wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyo Vikuu na Taasisi ya Elimu ya Juu Zanzibar, wakimuonesha moja ya tafiti walizofanya kutokana na Wanafunzi kufeli katika mitihani yao, walipofika katika ofisi za Baraza la Wawakilishi kuonana na Spika wa Baraza, Pandu Ameir Kificho.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi na Mhe. Haroun Ali Suleiman wakitoka katika ukumbi wa Baraza leo.
Mhe. Ismail Jussa (CUF) na Mhe Ali Mzee Ali (CCM) wakitoka katika ukumbi wa baraza  baada ya kuahirishwa kwa kikao hicho.
 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kulia Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud na Mwakilishi wa Chaani  Ussi Jecha Simai, wakitoa katika ukumbi wa mkutano.
Mwakilishi wa Kwamtipura Hamza Hassan, akisisitiza jambo na wajumbe wezake baada ya kuahirishwa kwa kikao cha asubuhi kwa mapumziko., katikati Mwakilishi wa Magomeni Salmin Awadh na Omar Ali Shehe, wakimsikiliza.   


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.