Habari za Punde

Balozi Seif azungumza na viongozi wa UWT, Pemba

 KATIBU wa UWT Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mafunda Khamis, akisoma taarifa fupi ya viongozi wa UWT wa mikoa miwili ya Pemba, mbele ya Mjumbe  wa Kamati kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambaye pia ni Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, Huko katika Chuo Cha Mafunzo ya Amali Vitongoji Pemba.
 
Viongozi wa UWT Mikoa Miwili ya Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mjumbe  wa Kamati kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambaye pia ni Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, Huko katika Chuo Cha Mafunzo ya Amali Vitongoji Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba).

 MJUMBE  wa Kamati kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambaye pia ni Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na viongozi wa UWT wa Mikoa Miwili ya Pemba, Huko katika Chuo Cha Mafunzo ya Amali Vitongoji Pemba.


MASHEHA wa Mikoa miwili ya Pemba,wakiwa katika mkutano wa pamoja, ulioitishwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, Huko katika Chuo Cha Mafunzo ya Amali Vitongoji Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba).

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.