Habari za Punde

Mambo ya Matunda aina ya Doriani yaaza Zenji....

Msimu wa Madoriani tayari umeaza na kuaza kuletwa Marikiti  Darajani kwa wateja wa bidhaa hiyo doriani moja limefika kuuzwa kwa bei ya shilingi 4500/= hadi 6000/= Doriani ni tunda ambalo limetokea kupendwa na Wananchi wengi wa ndani ya Zenj na nje ya Zenj kutokana ladha yake kuwa nzuri lakini linachoma kutokana na miba yake. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.