Habari za Punde

Wafanyakazi Ofisi ya Ubalozi wa Uingereza wapigwa msasa Rasimu ya Katiba


MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Humphery Polepole (kushoto) akitoa mada kuhusu Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania iliyoandaliwa naTume hiyo kwa baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Uingereza nchini. Warsha hiyo ya siku moja ilifanyika leo (Ijumaa Juni 21, 2013) katika Ofisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam.

(PICHA NA TUME YA KATIBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.