Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar Yaipiga Jeki Kikwajuni Saccos Bank yaipatia Seti za Computer.

Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman, akimkabidhi seti ya Tatu za Computer Mwenyekiti wa Kikwajuni Saccos Bank, Tatu Tawakal, kwa ajili ya matumizi ya Benki hiyo, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Saccos hiyi Kikwajuni, akishuhudia makabidhiano hayo Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni na Viongozi wa Saccos hiyo.   
Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman, akimkabidhi Seti tatu za Computer Mwenekiti wa Kikwajuni Saccos Bank, Tatu Tawakal, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Benki hiyo Kikwajuni Weles. 
 Mwenyekiti wa Kikwajuni SACCOS Bank Tatu Tawakal akimkabidhi Meneja wa Kikwajuni SACCOS Bank  Abdulrahim Abrahaman, kwa ajili ya Benki hiyo, inayotowa huduma kwa Wananchi wa Jimbo la Kikwajuni. .
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni akitowa shukrani kwa msaada uliotolewa na Benki ya Watu wa Zanzibar kwa ajili ya kutumia kwa Kikwajuni SACCOS Bank, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za SACCOS hiyo Kikwajuni , kulia Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman na kushoto Mwenyekiti wa Kikwakuni SACCOS Benki Tatu Tawakal.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.