Habari za Punde

Dk Shein afanya mazungumzo na Rais Obama Ikulu Dar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Marekani Barack Obama, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam jana, akiwa nchini katika  ziara ya siku mbili kwa mualiko wa kiserikali.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.