Habari za Punde

Maalim Seif afutari na wanachakechake, Wawi, Pemba

 Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akiungana na waumini wa dini ya kiislam katika futari maalumu, aliyowaandalia wananchi wa chake chake pemba, huko katika kiwanda cha Makonyo wawi Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba)

Wananchi mbali mbali wakiwa na viongozi wa serikali na vyama vya siasa, wakijumuiya kwa pamoja katika futari maalumu walioandaliwa na Makamo wa Pili wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad, huko katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo wawi Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba)
 
 Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharifa Hamad akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu, waliohudhuria kwenye futari maalum aliyowaandalia wananchi wa wilaya ya chake chake, huko katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo wawi Pemba

Sheikh Nassor Ghulam akitoa shukurani za wananchi wa chake chake, walio hudhuria kwenye Futari maalumu iliyoandaliwa na Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalimu Seif Sharif Hamad na Familia yake, huko katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo wawi Pemba. .(Picha na Abdi Suleiman, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.