Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Amour Ali, akizungumza na Wafanyakazi wa PBZ katika mkutano wa Uongozi uliofanyika katika hoteli ya Mazsons Shangani, ili kuboresha huduma za Benki katika kipindi hichi baada ya kutimia miaka 47 tangu kuazishwa kwake, ili kutowa mawazo yao kuiboresha benki yao.Ikiwa n i maadhimisho ya miaka 47 ya PBZ tangu kuazishwa mwaka 1966.hadi leo 2013.
Wakurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakifuatilia michango ya Wafanyakazi wa PBZ katika mkutano wa Uongozi kuboresha huduma za PBZ kwa kipindi hichi baada ya kutimiza miaka 47 ya Benki hiyo tangu kuazishwa mwaka 1966.Mkufugenzi wa Masoko wa PBZ, Bi Viwe Juma Ali, akifuatilia michango ya Wafanyakati katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani.
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar , Juma Amour akihutubia Mkutano huo wa kuboresha huduma za Benki yao kwa kipindi hichi baada ya kutimia miaka 47 na kujiwekea malengo ya ufanisi katika huduma zao kwa wateja.wao
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakiwa katika chumba cha mkutano waUongozi.
Mfanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar akichangia katika mkutano huo wa Uongozi waWafanyakazi wa PBZ, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya mazsons shangani.
Mambo ya kuborsha huduma za PBZ wafanyakazi walipata fursa za kutowa mawazo yao na michango kwa Uongozi wa Benki katika mkutano huo wa kutimia miaka 47 ya PBZ tangu kuazishwa Zanzibar mwaka 1966.
Ofisa wa Benki ya Watu wa Zanzibar akisisitiza jambo wakati wa kuchangia ufanisi wa huduma za Wateja na Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar, katika mkutano wa Uongozi kutimia miaka 47 ya PBZ , uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya mazsons shangani Zanzibar.
Mfanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar akichangia kupitia katika mkutano huo uboreshwaji wa huduma kwa wafanyakazi wa PBZ kwa Uongozi waBenki
Nafasi za uchangiaji Wafanyakazi wa PBZ walizitumia vizuri kutowa michango yao kwa jinsiazote mbili watendaji wa Benki hiyo.
Mfanyakazi wa PBZ akisisitiza mchango wake kwa Uongozi wa PBZ kuwapatia huduma wafanyakazi wao wakati wanapokuwa kazini katika saa za ufanyaji wa kazi hulazimika kupita muda wao.wakati wa kutowa huduma za kibenki.
Meneja Rasilimali Watu Rajab Abdalla, akitowa maelezo kwawafanyakazi wa PBZ katika mkutano wa kuadhimisha miaka 47 ya PBZ mkutano uliofanyika katika ukumbi wahoteli ya mazsons shangani Zanzibar.
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wao baada ya kumalizika kwa mkutano wa kuadhimisha miaka 47 ya kuazishwa kwa PBZ mwaka 1966.
No comments:
Post a Comment