Habari za Punde

Rais Kikwete Akutana na Waziri wa Uingereza Anayeshughulikia Afrika Ikulu Leo.

   Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza Mgeni wake Waziri wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akiongea na Mgeni wake Waziri wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds alipofika Ikulu jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.