Mkurungezi Masoko wa Kampuni ya Simu ya Zantel Mohammed Mussa Baucha, akimkabidhi fulana Nahodha wa timu ya Livingstone kwa ajili yacwachezaji wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Supa Soko lililofanyika uwanja wa Malindi Mnazi Mmoja, Michuano hiyo ya Supa Soko kwa kawaida hufanyika katika fukwe za bahari kwa nchi za wezentu huko ngambo, kwetu michuano hii imefanyika katika viwanja vya kawaida na wakati wa usiku na kushirikisha timu 12.
Michuano hiyo ilikuwa chini ya Udhamini Mkubwa wa Kampuni ya Zantel. kwa kufanikisha michuano hiyo.
No comments:
Post a Comment