Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Hamad akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar,Sheikh Saleh Salum, alipofika Osini kwake migombani kujitambulisha kwa Makamo wa Kwanza. wa Rais wa Zanzibar kwa kuanza kazi hivi karibuni katika ofisi ya Zanzibar. (Picha na Salmin Said, OMKR)
KAMONGA ACHUKUA FOMU TUME
-
Baada ya uteuzi wa wagombe ubunge wa uliofanyika siku ya Jana na
halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, Mbunge wa Jimbo la
Ludewa Adv. Joseph Z...
7 hours ago
Du! NIMEPENDA HII YAANI WIZI WAZI WAZI WALA HAWAOGOPI HII INAONYESHA FIKA KUWA KUWA KIGOGO ANAWALINDA KWA KIASI FULANI.
ReplyDelete