Habari za Punde

Dk.Shein azungumza na WanaCCM Tumbe


 Wananchi na Wanachama wa CCM Jimbo la Tumbe wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza katika mkutano wa chama katika kijiji cha Tumbe,alipokuwa katika ziara maalum katika Wilaya ya Wete Pemba jana
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)akisikiliza Risala ya wanachama CCM Tawi la Tumbe iliyosomwa na Time Juma,(hayupo pichani)alipokuwa katika Mkutano kijiji hapo jana,

 Msoma Risala ya Wanachama wa CCM Tawi la Tumbe Time Juma,akisoma risala wakati wa mkutano wa wanachama kijiji hapo,Rais wa Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa mgeni rasmi.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya wanachama wa CCM Tawi la Tumbe,wakati wa mkutano kijijini hapo alipokuwa katika ziara maalum.

 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM Tawi la Tumbe,wilaya ya Wete Pemba,akiwa katika ziara maalum, [ Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.