Habari za Punde

Kituo cha Daladala chazidi kujikongoja

Kilitakiwa kiwepo Donge, jengo la Barclays lakini imeonekana hakikupendezwa hivyo kimeshaanza kujikongoja kimeshapita Afisu Kuu ya CCM na sasa kinakaribia Michenzani tobo la Pili.

Picha na mdau kutoka facebook

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.