![]() |
| Mshambuliaji wa Zanzibar Ally Badru alikosa bao la wazi leo |
![]() |
| Kiungo wa Zanzibar, Masoud Ally Mohamed akipasua katikati ya wachezaji wa Sudan Kusini |
![]() |
| Badru akimtoka Delfino |
![]() |
| Ally Badru akimtoka Richard Justin Picha zote kwea hisani ya Mahmoud bin Zubeiry |






bwana bin zubeir kuweka jina lako katikati ya picha uloziweka hapa manake nini, mtandao huu wanatumia watu wingi wacha ushamba huo, kama huwezi kusaidia watu mpaka ulete kiburi chako basi tutasamehe usitutese kwa kitu chako yakhe.
ReplyDeleteWewe Anonymous ndio wa kuacha ushamba. Zubeir ana haki ya kueka alama katika picha zake. Imeruhusika hio kisheria (Copyright laws).
ReplyDeletePengine ungemshauri namna ya kuboresha alama zake anapoziweka katika picha.