Harakati za mitaa ya Uswahilini katika wakati wasaa za mchana huu kama hivi kama unavoonekana pichani barabara ya Muembeladu ikiwa na pilika pilika kama hivi,.
Hii yote ni ongezeko la huduma mbalimbali katika maeneo mengi ya mji wa Zenj. Na ongezeko la magari kwa wakati huu magari yamekuwa mengi.
Tofauti na enzi zile magari unayahesabu na wamiliki ni wachache tafauti na sasa zenj yetu imekuwa na uingizaji wa magari kila leo na yakifahari
No comments:
Post a Comment