Habari za Punde

Ajali lakini Salama hakuna Majeruhi katika ajali hiyo.

 Ajali hiyo Kijana mpanda Vespa akiwa na abiria wake akigaragara baada ya kugongwa na gari wakati akipita sehemu siyo yake na kupata ajali hiyii maeneo ya bembela.
    Jamaa akimfuata dereva kumlaumu baada ya kuwagonga, Lakini kosa ni la mpanda vespa analaumu bure.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.