Habari za Punde

Mahafali ya 13 ya Chuo Kikuu Shirikishi cha Elimu Chukwani Zanzibar

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Aili Iddi akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kishirikishi cha Elimu Chukwani Dkt. Hikmany, alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho kuhudhuria mahafali hayo.
 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Elimu Chukwani kuhudhuria mahafali ya 13 ya Chuo hicho. 
 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa katika maandamano ya Wahitimu wa Chuo cha Elimu Chukwani kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Juma Shamuhuna na Mku wa Baraza la Chuo Kishirikisha cha Elimu Chukwani Dkt. Abdurahaman El Muhailan. 
 Wahitimu wakiwa katika maandamano kuingia katika viwanja vya sherehe kwa ajili ya kutunukiwashahada zao. 


 Wahadhiri wa Chuo cha Elimu Chukwani wakiingia katika viwanja vya sherehe kuhudhuria kukabidhiwa kwa Shahada wahitimu wa mwaka 2012/2013.
                                 Wahitimu wakiingia katika viwanja vya sherehe
 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimkabidhi zawadi yake Muhitibu Bora wa masomo ya Biology na Chemistry kwa kuibuka na GPA 4.63. First Class  Bi Mulhat Mohammed Fasih.

 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi akimkbidhi zawadi Muhitimu Bora wa Somo la Phy na Math kwa GAP 4.15 Upper 2. Abdul A Haji.
 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi, akimkabidhi zawadi Muhitimu wa Chuo cha Elimu Chukwani Bwa. Omar Juma Othman kwa kupata GPA 4.05 Upper 2 somo la Phy na Chem.
 Muhitimu Maryam Lisakalu akikabidhiwa zawadi yake ya ushindi wa kupasi somo la Geograph kwa kupata GAP 4.33, Upper 2, na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani.
 Mshindi wa Soma la Lugha ya Kiarabu Salama Suleiman kwa kupata GAP ya Fistr Class kwa point 4.53., akikabidhiwa zawadi yake na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. 
 Muhutimu Raya Seif Muhitimu Bora wa Soma la History kwa kupata point GAP 4.38, akifurahia zawadi yake wakati akikabidhiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakati wa Mahafali ya 13 ya Chuo hicho.
 Wahitimu ya Soma la Sayansi wakitunikiwa Shahada yao wakati wa Mahafali ya 13 ya Chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.