Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Mohammed Raza akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na tuhuma anazotuhumia, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar, kulia Afisa wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Ramadhan Ali.
Mhe. Mohammed Raza akisoma moja ya gazeti wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Waandishi wa habari wakifuatilia mazungumzo na Mhe. Raza alipokutana nao kuelezea tuhuma anazotuhumiwa na kueleza msimamo wake.
Kibopa Raza, usicheze na mazimu wa kale(ccm) utakudhuru.Yaliomkuta Masour sasa yakunyemelea.Nakushauri bora uchupe kuliko kusubiri kusukumwa. ONDOKA au JIUZULU iache uzini kama ilivyo.Haina haja kungangania.
ReplyDeleteHuyu, raza muongo tena anasili ya uchachandu asitaake sifa na kufanya fitna zabure, na kwa sasa ule utawala wakihuni alokuwa akiupenda harudi na makundi yale hayapo asijidanganye yeye hawashi walahazimi, manenoyake ni kelele za mlango,
ReplyDelete