Habari za Punde

Prof Makame Mbarawa akabidhi mbolea na madawa kwa wakulima wa mpunga, Mkanyageni, Pemba

 Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pro, Makame Mnyaa  Mbarawa , akikabidhi Msaada wa Dawa za Kuulia Magugu kwa Sheha wa Shehia ya  Mchangani Mkanyageni , Omar Abdalla Mbwana , kwa ajili ya Wakulima wa Shehia hiyo.

Waziri wa Mawasiliano , Sayansi na Teknolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pro, Makame Mnyaa Mbarawa, akikabidhi Mbolea kwa Sheha wa Shehia ya Mchangani Mkanyageni  kwa ajili ya Wakulima wa Mpunga kwa msimu huu.

Shehena ya Mbolea na Dawa za kuulia magugu  ambayo Waziri wa Mawasiliano , Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Pro,Makame Mnyaa Mbarawa, amekabidhi kwa Wakulima wa Mpunga wa Mkanyageni kwa Msimu huu.

Picha na Hanifa Salim  -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.