Habari za Punde

Maonesho ya Tamasha la Busara Ndani ya Nome Kongwe.

Msanii Jhikoman akitowa burudani ndani ya Jukwaa la Busara Ngome Kongwe usiku wa jana, wakati wa ufunguzi wa tamasha hilo.
            Wageni wa wenyeji wakifuatilia onesho la Sauti za Busara ndani ya ukumbi wa ngomekongwe.
           Hivi ndivyo ilivyokuwa usiku wa uzinduzi wa Tamasha la 11 la sauti ya Busara Zanzibar.
Kikundi cha Six Boys kikitowa burudani katika bustani ya forodhani kwa wananchi waliofika kuangalia uzinduzi wa Tamasha hilo. 



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.