Habari za Punde

Rais Kikwete Atembelea Ukumbi wa Bunge la Katiba Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katuka  Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho  tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu. 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho  tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.(Picha nav Ikulu)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.