Habari za Punde

Wananchi wa Wakijitokeza katika Zoezi la Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa

Wananchi wa maeneo ya Mtoni wakijitikeza katika zoezi la Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa, katika viwanja vya Skuli ya Mto Pepo Wilaya ya Magharibi Unguja.zoezi hilo linafanyika kwa nchi nzima kuandikishwa Wananchi ili kuweza kupata Vitambulisho hivyo
          Wananchi wa kiwa katika viwanja vya Skuli ya Mto Pepo wakijiandikisha Vitambulisho vya Taifa.
Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Tanzania akitaja majina ya Wananchi waliokuwa tayari wameshafanyiwa usaili na kufuata hatua nyengine ya upigaji picha.
                     Mwananchi akikamilisha taratibu za usajili kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa.

Afisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa akitaja majina ya Wananchi waliokamilisha kujaza fomu na kuchukua hatua ya upigaji wa picha ya kitambulisho.
                     Afisa wa Vitambulisho Taifa akijaza fomu ya mmoja wa Wananchi katika hatua ya picha.

Wananchi wakhojiwa na Makarani wa Vitambulisho wakijaza Fomu za Vitambulisho vya Taifa waliofika katika skuli ya MtoPepo Chumbuni. 

1 comment:

  1. vitambulisho watapewa watanganyika kwanza , wakati waznz watanyimwa au kufanyiwa usumbufu , vimeletwa ili kuwapa nguvu watanganyika kama hamjui ,

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.