RAIS MWINYI: TUIOMBEE NCHI AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
-
Mgombea wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.
Hussein ...
6 hours ago
ndugu yangu Rais Kikwete , hata uchukue timu gani haisadii kitu sisi muungano hatuutaki , hata uje na malaika wa mungu kukusindikiza basi kazi bure , muungano mwisho, zanzibar huruuuuuuuuuuu huu ndio ujumbe wetu , na kama mwadilifu wa kweli unatakiwa uheshimu hisia na matakwa ya wazanzibari
ReplyDelete