Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mjini Dodoma leo
Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati akilihutubia Bunge la Maalum la Katiba Tanzania.
Rais Mstaaf wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakifuatilia hutuba ya Rais Kikwete wakati akilihutubia bunge la Maalum la Katiba Mjini Dodoma leo jioni.
Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakimsikiliza Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia bunge hilo.
Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais Dkt Jakaya Kikwete, wakati akihutubia Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma leo jioni.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akilihutubia Bunge hilo leo jioni Mjini Dodoma.
rais sheni kama aliyetiwa maji baridi , ndugu Rais wewe ni sawa na Kikwete una nchi yako , lakini angalia hapo ulivyokaa inaonyesha kabisa kuwa hufurukuti mbele ya JK , unatushushia hadhi ya nchi yetu , ungekuwa na wewe mstari wa mbele kutaka uhuru basi huenda ungabakia kuwa rais wwetu , bado muda unao mwambie JK atupe nchi yetu
ReplyDelete