Habari za Punde

Vyombo vya Usafiri maarufu katika Mji wa Zenj..........A

 Mdau mambo ya usafiri kwa wananchi wa Zenj hutumika sana katika kisiwa hichi kurahisisha mambo ya matembezi ya hapa na pale ikizingatiwa Zenj ni mitaa yake mingi hasa ya stone town gari haifiki hutumika sana kwa vyombo vya moto katika mitaa hiyo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.