Habari za Punde

Mgombea Ubunge Jimbo la Chalize Ridhiwani aendelea na Kampeni yake.

 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia Mamia ya wakazi wa Kijiji cha Lugoba waliofurika kwenye uwanja wa Mnadani,kusikiliza sera ya Mgombea Ubunge huyo


 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea kadi za Chama cha CUF kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Kata ya Msata,Idd Njema ambaye amejiunga na CCM sambamba na familia yake.katikati ni Meneja wa Kampeni za CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi.Picha na Othman Michuzi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.