RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya NITCO.
Binu Raj, wakati akitembelea maonesho, kabla ya kuifungua Semina ya Wataalamu Wasanifu
Majengo Afrika Mashariki, iliyofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar leo 10-7-2025, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Waziri wa
Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
PINDA ATAKA HAKI MCHAKATO WA WAGOMBEA
-
Na Oscar Assenga,TANGA
WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
Taifa Mizengo Pinda amehimiza viongozi waliopewa dhamana...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment