Habari za Punde

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Congo- Brazzaville Mhe. Denis Sassou Nguesso, Ikulu Jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo- Brazzaville Mhe. Denis Sassou Nguesso uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Jean-Claude Gakosso, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Julai, 2025. 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.