
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo April 27, 2014.Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Mstaaf wa Namibia Mhe. Sam Nujoma alipofika Ikulu Dar-es-Salaam kumtembelea baada yakushiriki sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanzania kutimia Nusu Karne (Miaka 50) baada ya kumtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu.(Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment