Habari za Punde

Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya TIGO.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya mkononi ya TIGO. wakiwa katika furaha na kuchukuwa sanduku wakishindikizwa na beni la Borafya wakipita katika mtaa wa michezani wakiwarusha roho na wapizani wao wakiwa katika moya ya onesho la kuitangaza huduma yao.
                 Yaani upizani uko hata katika biashara, sio siasa peke yake hufanyiana rusha roho.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.