Habari za Punde

Makamu wa Rais Dkt. Bilal mgeni Rasmni kwenye hafla ya kuchangia Fedha kwa ajili ya Misitu ya Milima ya Toa ya Mashariki.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akizungumza kwenye Hafla ya kuchangisha Fedha za kuwezesha Uhifadhi wa misitu ya milima ya Toa la mashariki kwenye ahotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilali akizindua Tovuti ya (EAMCEF)kwajili ya kuwezesha kuchangia kwa njia ya mtandao kwenye,Hafla ya kuchangisha Fedha za Uhifadhi wa Misitu ya Milima ya Toa ashariki iliyofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency, Jijini Dar es Salaam.
Makamu waRais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi picha iliyopigwa mnada Bw Robert Vyampiga wa( DECO) Baada ya Kuinunua kwenye Harambe ya kuchangisha Fedha za Kuwezesha Uhifadhi wa Misitu ya Milima ya Toa la Mashariki iliyafanyika kwenye Hotel ya Hyalt Regency Jijini Dar es Salaam.(Picha OMR}

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.