Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni alipowasili katika Tawi la CCM Chokocho, alipofika kukabidhi Kadi kwa Wanachama wapya wa Umoja wa Vijana wa CCM na kukabidhi vifaa vya Ujenzi kwa Kikundi cha Vijana cha Utandawazi Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba
Wanafunzi wa Daraza la Itikabi la Umoja wa Vijana Mkanyageni wakisoma Utenzi katika hafla hiyo ya kukabidhi Kadi kwa Wanachama Wapya wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkanyageni Pemba Jumla ya Vijana 50 wamejiunga na Umoja wa Vijana wa CCM
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia Wananchi wa Mkanyageni na
Vijana waliohitimu mafunzo ya darasa la Itikadi ya Chama na kuwakabidhi Kadi
Wanachama wapya wa Umoja wa Vijana wa
CCM na Kukabidhi Vifaa Kikundi cha Vijana cha Kilimo cha Mkanyangeni.
Wananchi wa
Kijiji cha Mkanyageni wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia baada ya
kukabidhi Kadi na Vifaa vya Ujenzi kwa Vijana wa Mkanyageni Pemba.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi
Seif, akiwahutubia na kutowa nasaha zake kwa Vijana waliofuzu mafunzo yao ya Darasa la Itikadi,
lililowashirikisha Vijana 50, wa Mkanyageni Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Ndg. Shaka Hamdu Shaka, akizungumza
katika mkutano wa kukabidhi Kadi na Vifaa ya Ujenzi kwa Vijana wa kikundi cha
Vijana cha Utandawazi cha Mkanyageni Pemba kinachojishughulisha na
kilimo cha mbogamboga.
Kijana wa Kikundi cha Kilimo cha Utandawazi Mkanyageni
Pemba , Ndg. Makame Hamrani, akisoma risala ya
Kikundi chao wakati wa kukabidhiwa Vifaa vya ujenzi wa bwawa la maji kwa ajili
ya Shamba lao la Mbogamboga na Matunda.
Mkufunzi wa Darasa la Itikadi kwa Vijana Ndg Mohammed Ali,
akisoma risala ya Wahitimu 50 wa Darasa la Itikadi ya Chama, lililofanyika
katika Tawi la CCM Chokocho Wilaya ya Mkoani Pemba.
Wanafunzi wa Daraza la Itikabi la Umoja wa
Vijana Mkanyageni wakisoma Utenzi katika hafla hiyo ya kukabidhi Kadi kwa
Wanachama Wapya wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkanyageni Pemba Jumla ya Vijana 50
wamejiunga na Umoja wa Vijana wa CCM
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi Kadi Mwanachama Mpya wa UVCCM, kisiwani
Pemba Ndg Ame Khamis, baada ya kumaliza mafunzoya darasa la Itikadi
lililowajumuisha Vijana 50 kulia Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Ndg. Shaka
Hamdu Shaka.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi Kadi Mwanachama Mpya wa UVCCM, kisiwani
Pemba Ndg Nachum Khamis, baada ya kumaliza mafunzoya darasa la Itikadi
lililowajumuisha Vijana 50 kulia Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Ndg. Shaka
Hamdu Shaka.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi Kadi Mwanachama Mpya wa UVCCM,
kisiwani Pemba Ndg Bimkubwa Mussa,baada ya kumaliza mafunzoya darasa la Itikadi
lililowajumuisha Vijana 50, katikati Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha
Balozi Seif.
Mke wa Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi Seti ya
TV Flat, Ndg. Mohammed Ali Mcha, kwa ajili ya Maskani yao Mkanyageni Pemba
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi vifaa vya ujenzi wa tangi la
maji kwa ajili ya kumwagilia maji shamba lao, la Kikundi cha Kilimo cha
Mbogamboga cha Utandawazi Mkanyageni, Ndg Kurthum Haji Juma., hafla hiyo
imefanyika katika Tawi la CCM Chokocho
Pemba.
Shekh. Kombo Ali Khamis, akisoma dua baada ya
kumalizika kwa hafla ya kukabidhi Vifaa vya Ujenzi na kukabidhi Kadi kwa
Wanachama wapya wa UVCCM,
Viongozi na Wananchi wa Mkanyageni Pemba
wakiitikia dua ikisomwa na Shekh. Kombo Ali Khamis, baada ya kumalizika kwa
hafla hiyo ya kukabidhi Kadi wanachama wapya wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
Mapinduzi, iliofanyika katika viwanja vya Tawi la CCM Chokocho Wilaya ya Mkoani
Pemba
Vijana wa Darasa la Itikadi wakiitikia dua baada ya hafla ya kukabidhiwa Kadi baada ya kumaliza mafunzo ya darasa la Itikadi lililofanyika katika Tawi la CCM Mkanyageni na kuhudhuruwa na Vijana 50. wamepata Elimu hiyo ya Siasa na Uongozi Bora.
No comments:
Post a Comment