Habari za Punde

Michango Kuchangia Bajeti ya Wizara ya Ardhi

Wajumbe waBaraza la Wawakilishi wakifuatilia michango iliokuwa ikiwasilishwa na Wajumbe wakati wa kupitisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Mhe Mahmoud Thabi Kombo akichangia Bajeti ya Wizara ya Ardhi Zanzibar.
Watendaji Wakuu wa Wizara ya Ardhi wakifuatilia michango iliokuwa ikichangiwa Wizara yao wakati wa kujadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi.


Mwakilishi kupitia Nafasi za Wanawake Mhe. Panya akichangia wakatio wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Ardhi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.