Habari za Punde

Uzinduzi wa Nembo Mpya ya Kampuni ya ZanLink Zanzibar

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ZanLink Zanzibar Ndg. Sanjay Raja akizindua Nembo yao Mpya kwa Waandishi wa Habari Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya Double Tree Zanzibar leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawailiano ya ZanLink Zanzibar Ndg Sanjay Raja, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Nembo yao Mpya inayoitambulisha Kampuni yao kwa Wateja wao uzinduzi huo umefanyika katika hoteli ya Double Tree.Vuga Zanzibar.
 Meneja Ufunzi wa Kampuni ya ZanLink. Ndg Issa Kassim Ali akifafanua jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Nembo yao Mpya uliofanya leo na Mkurugenzi Mkuu waKampuni hiyo Ndg. Sanjay Raja.
Meneja Biashara Zanlink Ndg Nasib Amour, akifafanua jambo wakati akijibu swali la waandishi wa habari kuhusuana na huduma za Kampuni yao kwa Wateja wakati wa Uzinduzi wa Nembo yao Mpya na kuboresha huduma za Internet kwa Wateja wao Zanzibar na nje ya Zanzibar.kulia Meneja Utawala Bi. Fidel Kavishe na Meneja Ufundi Ndg. Issa Kassim Ali, uzinduzi huoumefanyika hoteli ya double Tree shangani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.